Artist: Abbas & Chantelle
Song : Tokelezea
Year: 2011
Language: Kiswahili, Sheng

Tokelezea, tokelezea, tukatokelezea!

Verse 1 (Chantelle)
Nikifika club watu wana tokelezea! Si watu wako wengi, manze wame tokelezea!
Abbas na Chantelle, wametokelezea! Ebu cheki vile hizo macho zime tokelezea!
Hizo haga zime tokelezea, Ati kwa sababu wanasema ati mimi nakula mbolea!
Mi supuu, ka stew na ma top layer za high school, vile huwa zime tokelezea!
Niko fresh bila prince, nimetoka bel-air, natoka keja bila make up sija jipondelea,
Na bado nakaa poa nimetokelezea!
Nina bra, nab ado n*****s zimetokelezea!
Mothers union, bado haga imetokelezea! (naeza kupikia ukinitembelea)

Ukikosa beshte zako, wata tokelezea, na wata tokelezea, tokelezea! Ingawa chelewa, bora wata tokelezea!
Cheki vile hizo nywele zime tokelezea! Za Rehema kando, zangu zimetokelezea!
Hata zikikatwa bado zita tokelezea!
Abbas ni kubaff, ametokelezea! Chentelle, nita tell nimetokelezea!
Abbas ni kubaff, ametokelezea! Chentelle, nita tell nimetokelezea!

Chorus
Tokelezea! (heard that vybe) TukaTokelezea! (heard that vybe) Tuka Tokelezea! Tokelezea! Tokelezea!

Verse 2

Ni KB, nanime Tokelezea, full buzz this year tume tokelezea (tokelezea!)
Yaani kama jump off, wametokelezea!
Koko rythm, tim tim, mume tokelezea!
Er er, niko up in the air, (tokelezea!)
Ku stand manze mpaka nina bonda mapairs! (tokelezea!)
Leo cash, kila mtu alikuja in pairs, wale walikua lucky walikula kwa stairs!
And one Kenya, manze tumetokelezea! (tokelezea!)
Uliza hot sauce, turi alitokelezea! (tokelezea!) Akamfanya 1-2 akatokelezea! (tokelezea!)
Mpaka mass pride bottle’s zikatokelezea (tokelezea!) next week niko nina bash mtatokelezea! (tokelezea!)
Kutakua free drinks, mchele ongelezea (tokelezea!)
mtawake up mpate vitu haziko there! (tokelezea!)
KB, tokelezea!

Chorus
Tukatokelezea! Tokelezea! Tukatokelezea! Tokelezea!
Tukatokelezea! Tokelezea!


Verse 3 (Abbas)
Kimse, kimetoplezea! Kichwa na ga ga, cheki vile zimetokelea! Oyeah!
Nimekomaa,nimekula mimea, nimepokea mabajia zote, kwenye sania, hadi kautambi kangu kakatokelezea!
Ukiparara, uta tokelezea, kama si solea si ungepaka nivea!
Nijea,kimse kimetokeleze-a! Na msupa ametokelezea (Tokelezea!)
Nyi mnadunga masupa juu mmesha potea!
Hizo njumu feki feki zita top-polezea! Simunajua, nab ado mnajitetea!
Kuna watu wengi hunichorea, mi niliwapea wire wakanichomea! Lakini mi nili shukuru nikawachorea, ju najua tu mabaraka zitatokelezea! (zea)

Verse 4 (Chantelle)
On the scene, nimetokelezea, Chantelle mimi ni metokelezea,
Abbas alinitoa, nika tokelezea! Nikatokelezea! Nikatokelezea!
Ma rhymes, kama thao, nazika tokelezea!,
kwenye show watu wengi waka tokelezea! Walilipa wakaingia na wa kapolea!
Wanajua vile sisi tutatokelezea! Mapiercing, na matatu zimetokelezea!
Pahali nimepitia,hauwezi tembea! Vile nimetokea, nimejitolea!
Mola Baraka zako, nimezipokea!
Leo nimeamka na nika tokelezea!

Bridge
Tokelezea! Tokelezea! Nikatokelezea! nika-tokelezea! nika-tokelezea!
 
Verse 5
Ongeza volume in the air, majirani watajua tume #@$
Kuna bash nime crush, in da area, tuna shika mizinga tuki-tokelezea!
Nina keria,ku sheria! Na nita share na wale tu wame (tokelezea!)
Kama ume top-olezea, mi nika top-olezea, nyi nyi mka top-olezea basi!

Chorus
Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea!
Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea!
Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea! Tuka-tokelezea!


 

Share this article:

 

Follow Us

facebook.pngtwitter.pngyoutube.pngrss.pnginstagram.png