- Details
-
Category: Angela Chibalonza lyrics
-
Created on Tuesday, 08 November 2011 08:58
-
Hits: 814
Artist: Angela Chibalonza
Song:Nimekutana na Yesu
Year:2008
Language:Kiswahili
VERSE 1 LYRICS:
Mimi Angela nimeshangaa sana
Nilifikiri kubarikiwa ni kuwa na mali mingi
kumbe mimi nilijidanganya
Kubarikiwa ni kukutana na Yesu akubadilishe uwe kiumbe kipya
Uliza Yakobo atakueleza
CHORUS LYRICS:
Yelele Baba Yelele Baba
Yelele Baba Yelele Baba
Ninasema Baba, Yelele Baba
Nimekutana na Yesu nikabarikiwa
Nimekutana na Yawe nikabarikiwa
Nimekutana na rabii nikabarikiwa
Nimekutana na Yawe nikabarikiwa
VERSE 2 LYRICS
:
Unajivunia mali ya dunia
Ujue kwamba yote ni ukatili
Uliza Suleimani atakueleza
Alikuwa nayo zaidi yako
Lakini mwisho akasema ni ukatili
Kubarikiwa ni kukutana na Bwana
Akubadilishe uwe kiumbe kipya
Ndipo utasema, mimi nimebarikiwa
Haleluya
CHORUS LYRICS:
Yelele Baba Yelele Baba
Yelele Baba Yelele Baba
Ninasema Baba, Yelele Baba
Nimekutana na Yesu nikabarikiwa
Nimekutana na Yawe nikabarikiwa
Nimekutana na rabii nikabarikiwa
Nimekutana na Yawe nikabarikiwa
Nimekutana na Jehova nikabarikiwa
Amebadilisha maisha yangu
Amenifanya kiumbe kipya