Tunaendelea (Klepto Diss)

Artist: Chiwawa
Song: Tunaendelea (Klepto Diss)
Producer: DJ Loop


wee, na mafans wa Klepto wako wapi (tuko hapa)
mazee unajua ilibidi tu nicheke kuskia eti Klepto mazee wame-reply hii story mazee si poa
hamjui mna-deal na nani

ushaipigwa heady ya kichwa ukaskia uchungu kwa mkundu
unajua, impact kali spine ikapata nundu
ushawai chapa mtoto ya wenyewe juu ya kuwa mtundu
Klepto round hii ntawa-bless na ma-voodoo
nankiri, munkiri ni watatu ama ni wawili
watoto wajinga hawa hawatumii akili
nyi ni kama dame watatu mko na moto kama tomboy
difference yenu na spice girls ni ngotha zenu za corduroy
mnafaa kunishukuru juu mna-rap tena masela
mbeleni mlikuwa mafala mna-rap na accapella
kofi moja nyi wote watatu mdomo inakosa mate
akili inapiga sama juu ya kofi moja maanake
asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu
aliyejifunza pekee yake jua risasi sio ndengu
kwa rap hamja-mature, hata ngotha hamjafua, tushawachukulia hatua
mlidhani mnatustua
endeni mkae kindoto
toka leo nitakuwa nikicheka nikiskia jina ya Klepto
juu nyi wote ni wa-funny jo mnakaa ka ma-scarecrow
toeni macho kila mahali round hii mtamakinika
juu nikimalizana na nyinyi mtakuwa na stiches ka jinika
chizi, nianze ku-rap bila tizi masaa mingi niko busy lakini kushindana na mafala ka nyinyi ni easy
mnafaa kuelewa ati ni ujinga mi sitaki
wacheni nichane gati kabla hujaozea kwa shati
Klepto mkibahatika kwenye miguu pekee
ni kichwa ndani ya kabati kavu

mna-try kunipima lakini ubaya hamko accurate
nyi wote ni ma-f****t na skills zenu haziko up to date
Klepto nyi ni garbage
mnafaa tu ma-damage
mna-try ku-face msee ka Chiwawa aje
ka nyi hu-sniff c*****e jueni mi hu-sniff gunpowder
ndio kwa maana na-spit fire na sauti yangu iko louder
ni poa ka mmeskia
pelekeni ngoma zenu KISS zikuwe brand new mpaka next year, mshaskia
ni lazma niwa-twist mkono ndio mjue niko better
mnafaa ku-reason better
ntawa-rip off ma-rib cage nizi-use ka resonator
ntawa-take up nyi wote ka ni hip hop mnataka
niko sure hamwezi catch up
matha___
naweza fundisha makuro ku-rap vipoa kuwaliko
live jo kwa concert ni-make sure mmealikwa
hamwezi kuwa ka mimi
hamwezi rap ka mimi
pigeni tizi hadi mpate ma-blister kwa ulimi
nishawa-expose hata nguo msivae
hii hata msika-reply
nishawa-crucify
hamwezi come nyi watatu pekee
nyi waoga mnangoja mafans wawatetee
ndio kwa maana mna-panic
ngumi moja tu mnabaki na ma-black eyes za metallic
ambieni Lucas kwanza wapanguze ma-mucus
nyi ni watoi bado ma-dufus
na geuzeni ma-diaper
beef zangu hufanya hata wale wapole wakuwe hyper
enyewe mme-try lakini rhymes zenu hazina detail
ni ka mko shy mna-rap ni kama nyi ma-female
Chiwawa niko true next time mtanicheki kwa stage niki-perform, mshaskia
kwa platform
Klepto
hii ni yenu tu
hakuna mtu mwingine
mi na wewe tu
toka sana
enyewe tumewa-murder
bado nyi ni mafans wa Klepto (zii, hapana)
hata mi sikudhania hivo
wee Loop, hebu wacha mazee kwanza look hii beat flani
hiyo sample ya beat ndio wadub waki-reply
juu hakuna venye wanaeza reply hii ngoma na kapuka
no way
hawaezi reply na kapuka
oh bana
niaje bro
niaje bro, niaje siste
toka sana

Follow Ghafla!

twitterbutton.png

 

facebookbutton.png

 

youtubebutton.png

Funded by 88mph