Dakika Tatu

Artist: Daddy Owen
Song : Dakika Tatu
Year : 2011

CHORUS

Mungu nipe tatu-tatu
Dakika tu tatu-tatu
nieleze hawa watu-watu
kwanini nakusifu
tatu-tatu
Dakika tu tatu-tatu
nieleze hawa watu-watu
kwanini nakusifu

VERSE 1

Alinitoa kwenye mipango ya shetani
Akanilaza kando ya maji matulivu
Ndio maanake namsifu kila siku
Kwa maana mimi nimeona mkono wake
Neema yake imenifanya kuwa mshindi
Na nguvu zake zimenifanya kuwa jasiri
Namwimbia namsifu kila siku
Nimempata jemedari mfalme wangu

CHORUS

Mungu nipe tatu-tatu
Dakika tu tatu-tatu
nieleze hawa watu-watu
kwanini nakusifu
tatu-tatu
Dakika tu tatu-tatu
nieleze hawa watu-watu
kwanini nakusifu

VERSE 2

Nimepona
Niko huru
Hadi milele-hadi milele
Mkombozi
Kaniokoa
Naona mbele-mimi naona mbele
Ameniponya kapanua mipaka yangu
Amenibariki maadui wakimbia

BRIDGE/CHORUS

Mungu nipe tatu-tatu
Dakika tu tatu-tatu
nieleze hawa watu-watu
kwanini nakusifu
tatu-tatu
Dakika tu tatu-tatu
nieleze hawa watu-watu
kwanini nakusifu.

Follow Ghafla!

twitterbutton.png

 

facebookbutton.png

 

youtubebutton.png

Funded by 88mph