LISTEN TO 'HARAMBEE HARAMBEE'

Artist: Daudi Kabaka
Song: Harambee Harambee
Language: Kiswahili


Harambee, Harambee
tuimbee pamoja
Harambee, Harambee
tuimbee pamoja
Harambee, Harambee
tuimbee pamoja
tujenge serikali

wengi walisema
Kenya itakuwa matata
wengi walisema
Kenya itakuwa matata
wengi walisema
Kenya itakuwa matata
watu wote wastaarabu

wananchi Harambee,
tuvutee pamoja
wananchi Harambee,
tuvutee pamoja
wananchi Harambee,
tuvutee pamoja
muongoze na usalama

watu wa Kenya
hatuna ubaguzi
watu wa Kenya
hatuna ubaguzi
watu wa Kenya
hatuna ubaguzi
kila rangi tunaipenda

Share this article:

 

Follow Us

facebook.pngtwitter.pngyoutube.pngrss.pnginstagram.png