Wanadamu Sio Wema
- Details
- Category: Fundi Konde lyrics
- Created on Friday, 14 May 2010 04:05
- Hits: 776
Artist: Fundi Konde
Song: Wanadamu Sio Wema
Language: Kiswahili
wanadamu sio wema
ndugu zangu nawaambia
ashindwaye kuyatenda
aje kwangu tamwambia
wanadamu sio wema
ndugu zangu nawaambia
ashindwaye kuyatenda
aje kwangu tamwambia
mwanisema, mwanisema
bure bure sio maana
haidhuru haidhuru mola atupe salama
mwanisema, mwanisema
bure bure sio maana
haidhuru haidhuru mola atupe salama
wanadamu sio wema
ndugu zangu nawaambia
ashindwaye kuyatenda
aje kwangu tamwambia
wanadamu sio wema
ndugu zangu nawaambia
ashindwaye kuyatenda
aje kwangu tamwambia
mwanisema, mwanisema
bure bure sio maana
haidhuru haidhuru mola atupe salama












