Wewe pekee
- Details
- Category: Martyn da Psalmist lyrics
- Created on Monday, 27 February 2012 12:43
- Hits: 227
Artiste:Martyn Da Psalmist
Song:Wewe Pekee
Year:2012
Language:Kiswahili & English
CHORUS LYRICS:
Wewe pekee yako ndiye mfalme wa roho yangu
Hakuna mwingine..alinganishwa nayee eeh..eeh...eehh
VERSE 1 LYRICS:
Usiku mchana..nakutazamia
Hakuna mwingine..alinganishwa nawee..eeh..eeh..eeh
Kushoto kulia..naona wema wako
Kibali yako yanifuata..kokote kule niendako
Ndio maana mimi nakusifu
Baraka zako bwana zanifuata kule niendako!
CHORUS LYRICS:
Wewe pekee yako ndiye mfalme wa roho yangu
Hakuna mwingine..alinganishwa nayee eeh..eeh...eehh
VERSE 2 LYRICS:
Ewe bwana nimetambua..aah
Niwewe pekee yako hakuna mwingine..eeh..eeh..eeh
Ndege wa angani wakusifu...wewe pekee
Wewe pekee masia..aah..aaah..aaah
Hakuna kama wewe..eeh
Hakuna kama wewe..eeh
Hakuna kama wewe..eeh
Wewe ni mkuu..
CHORUS LYRICS:
Wewe pekee yako ndiye mfalme wa roho yangu
Hakuna mwingine..alinganishwa nayee eeh..eeh...eehh
VERSE 3 LYRICS:
Lord you are my King,I worship you
Lord you are my King,I adore you
Lord you are my King,I give you all the praise
Lord you are my King,I cry holy are you
Kama sio wewe..ningekuwa wapi
Bali wewe mfalme watawala..najitoa kwako..
CHORUS LYRICS:
Wewe pekee yako ndiye mfalme wa roho yangu,
Hakuna mwingine..alinganishwa nayee eeh..eeh...eehh