Sishiki simu (Heloo)

ArtCreative Design and Custom coding

Artiste:Marya
Song:Sishiki simu (Heloo)
Year:2012
Language:Kiswahili

CHORUS LYRICS:
[Hallo], sishiki simu, si eti niko na ka-date na ka-boy
[Hallo], sishiki simu
[Hallo], sishiki simu, hebu please nielewe niko job
sishiki simu

VERSE 1 LYRICS:
Mapenzi kama hivi siwezi tena
uwivu uwivu wako mimi siwezi
ukinikumbatia huniwachilii
uone kama nanukia chali mwingine
ooh baby, mambo sasa
unapokuwa kipenzi changu
unahisi nina mpango wa kando

CHORUS LYRICS:
[Hallo], sishiki simu, si eti niko na ka-date na ka-boy
[Hallo], sishiki simu
[Hallo], sishiki simu, hebu please nielewe niko job
sishiki simu

VERSE 2 LYRICS:
Nikinunua viatu unavificha
nikinunua nguo unaichoma
wasema niking'ara nitapendwa na machali
wasema niking'ara nitapendwa na machali
ooh baby, mambo sasa
unapokuwa kipenzi changu
unahisi nina mpango wa kando

CHORUS LYRICS:
[Hallo], sishiki simu, si eti niko na ka-date na ka-boy
[Hallo], sishiki simu
[Hallo], sishiki simu, hebu please nielewe niko job
sishiki simu

BRIDGE:
Mapenzi kama hivi siwezi tena
Mapenzi kama hizi, I don't want no more...

Follow Us

facebook.pngtwitter.pngyoutube.pngrss.png

Funded by 88mph