Artist: Upendo Nkone
Song: Mungu Baba
Record Label: Serious Records
Language: Kiswahili


Mungu baba
uliye mbinguni
jina lako
baba litukuzwe

ufalme
wako uje
mapenzi yako
baba yatimizwe

Mungu baba
uliye mbinguni
jina lako
baba litukuzwe

ufalme
wako uje
mapenzi yako
baba yatimizwe

karibu Yesu
ukae kwangu
siku zote
maishani mwangu

karibu Yesu
ukae kwangu
siku zote
maishani mwangu

karibu Yesu
ukae kwangu
siku zote
maishani mwangu

uwe wangu daima
nikijaribiwa, uwe wangu daima
hata nikiteswa, uwe wangu daima
ninaomba

nilalapo
ndani ya mkapo
wema wako baba
bado upo kwangu
nimezungukwa
na nguvu zako
ewe Yesu
urafiki mwema

nilalapo
ndani ya mkapo
wema wako baba
bado upo kwangu
nimezungukwa
na nguvu zako
ewe Yesu
urafiki mwema

karibu Yesu
ukae kwangu
siku zote
maishani mwangu

karibu Yesu
ukae kwangu
siku zote
maishani mwangu

karibu Yesu
ukae kwangu
siku zote
maishani mwangu

uwe wangu daima
nikiwa mjane uwe wangu, uwe wangu daima
nikikosa chakula uwe wangu, uwe wangu daima
Share this article:

 

Follow Us

facebook.pngtwitter.pngyoutube.pngrss.pnginstagram.png