"Nilikuwa nafanyiwa orientation, ilikuwa siku yangu ya kwanza kuingia kazini hapa. Kuna jamaa mmoja alikuwa ana-host show ya mchana lakini hakukuwa na Mambo Mseto. Patrick Kanyeki ndiye alikuwa mchana. Alijua Tuva anakuja hiyo siku kwa hivyo hakukuja. Basi nikaambiwa niingie na hata sikuwa nimejipanga. Niliingia studio nikashika mic na Mambo Mseto ilizaliwa."
And on why he created the format the show has used over the years, "Hakukuwa na show ya muziki ya East Afrika, basi nikapata idea ya kuifanya."
Mambo Mseto has gone on to spawn a television show, Mseto East Africa, which airs from 4:45 every weekday on Citizen TV. Happy birthday, Mambo Mseto. Here's to many more years supporting the region's music industries.







