Picha tano moto za Amanda Swartbooi, model kwenye video ya Show me ya Rich Mavoko na Harmonize

Rich Mavoko na Harmonize, wote wasanii kwenye label ya WCB hii wikendi ya pasaka walitoa wimbo na video show me.

Wimbo huo wenye wakati huu umeshika sana kwenye mitandao ni kama Kokoro ambao unawajumuisha wasichana wengi walio nusu uchi na ambao watingiza mauno.

Ni wimbo ambao utachezwa sana vilabuni na mojawapo wa models kwenye huo wimbo ni Amanda Swaartbooi ambaye ni mrembo tena zaidi. Pia alijumuishwa kwenye wimbo wa Davido na Nasty C coolest kid in Africa.

Mtazame hapa kwenye hizi picha:

Amanda Swaartbooi

Amanda Swaartbooi

Amanda Swaartbooi

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.