Sarah Amtuhumu Jacky Kumsumbua Harmonize
Mpenzi wa msanii Harmonize amemtuhumu Jackline Wolper kwa madai kuwa Jacky amekuwa nakimtumia hrmminize meseji za mapenzi katika mtandao wa instagram katika upande wa meseji na kumsumbua sana kutaka kurudiana nae.
Sarah ambae aliweka mpaka meseji katika ukurasa wake kuthibitihs ailo anasema nkuwa Jacky amekuwa akimsumbua sana mwanaume wake na kudai kuwa jacky bado ana mapenzi na harminize na ndio maana amekuwa anamsumbua sana.
Jacky ambae pia aliweka meseji za sarah wazi katika ukurasa wake na baade kufuta alisema kuwa anamuonea huruma sana mwanamke huyo kwa kuangaika na kumlinda mwanaume wake kwa sababu yeye hana muda na mambo hayo kwa sasa kwa sababu ana mambo mengi ya kufanya.
Hata hivyo kw inavyosemekana ni kwamba yupo mtu anaetumia jina linalofanana na Jacky kumchafua Jacky kwa mambo hayo na hii sio mara ya kwanza mtu huyo anafanya hivyo na kwa inavyosemekana ni kwamba mwandada sarah amekuwa akihusika na mtu huyo.
Mwanadada Jacky aliwahi kuwa na mahusiano na Harmonize lakini waliachana na msanii huyo kujiingiza kimapezni na mwanadada mwenye asili ya kizungu.
