Mashabiki Wamuamkia Nandy , ni Baada ya Siri ya Penzi na Billnasss Kuvuja
Baada ya kuficha kwa muda mrefu hatimaye ile siri imefichuka kuwa ni kweli nandy na msanii mwenzake Billnass ni wapenzi kwa kuvuja kwa picha ambazo nandy mwenyewe aliamua kuwachokoza watu katika mitandao kwa kuziweka wazi ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa billnass.
Hata hivyo baadhi ya mashabiki walionekana kufurahia penzi hilo na kuwataka waendelee na huku wengine wakiwashushua wawili hao kwa sababu ya kuwa wanakanana katika vyombo vya habari.baada ya picha ya ndani katika mtandao wa instagram baadhi ta mashabiki walitupia maoni haya :
- official _ivan5 duuh @ nandy UMEPAKATWAAA @ soudybrown mombo ni moto mzee baba.
- official_irfan_tz mmhh nandy we si uliwahi kukataa kuwa billnas sio mtu wako wewe sasa leo naona umepakatwa mdada.
- fanueltanzania i wish you two could be a couple could be a bright future couple in this game ever @billnass 2@ nandy i pray for you two
- colasticacamra muda merfu nilikuwa natamani kuwaona nyie watu pamoja , leo nimeona picha aisee nimefrahi sana mpaka naumwa, yaan nandy nakupenda na nengaa nakupenda pia.
- monte_mindu pembe la ngombe halifichiki hata ulitie kwenye gunia, mambo ni wazi wazi.