Wema Sepetu Atoa Siri ya Penzi Zito kati ya Steve Nyerere na Weru Sengo.

Kwa muda mrefu msanii Steve Nyerere na Weru Sengo wamekuwa wakikanusha kuwa hawapo katikamhusiano ya kimapenzi na kuwafanya watu wamini kuwa ni kweli  hawapo katika mahusiano, siku ya may 22 steve nyerere aliwka picha katika ukurasa wake wa instagram na kuweka wazi kuwa mtoto wake wa kike ametimiza mwaka mmoja lakini hakusema wazi mama wa mtoto huyo.

ghafa wema sepetu akapita na kuweka koment nzito yenye kuta ubuyu wote na kuandika;tivu tivumtivu sijui hata niseme nini , umenifungua baba , mashallha jamani waone mlivyo kama mapapai hap kaka ulituliza kosenshen yako  hongera tivu ake , mungu akutunzie binti yako na familia yako.

Ila pia mpende sana @sengomatilda  my baby sister kwa kweli umempa huyu mtu bichwa kubwa sana  kababy kenu ni ka sweet kupita maelezo.

Hivi karibuni pia weru sengo aliwahi kuulizwa kama amewahi kwa namna yoyote kuchangia kuharibika kwa ndoa ya steve nyerere alikanusha tetesi hizo na kusema kuwa hata mtoto aliyenae sasa sio wa steve.

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.