Lynn Asema Hamjui Hamisa Mobeto Ni Nani
Mwana dada Irene amefunguka na kusema kuwa hamjui kabisa mwanadada mwenzie ambae pi ni video queen mwenzie hamisa mobeto na wala hajui hamisa ana ukaribu gani na Diamond kama ambavyo hamisa amekuwa akijinadi huko mitandaoni.
Hata hivyo kwa muda nyuma kidogo Lynn aliwahi kusikika akiwa na mapenzi na Diamond na kusemekana kuwa aliwahi kupata mpaka ujauzitnwake lakini pia inawezekana maneno ya Lynn yanakuja kutokana na ukweli kwamba anamchukia hamisa kutokana na kwamba walishawahi kutembea kimapenzi na bwana mmoja.
Ukiacha na mahusiano ya kimapenzi tu kati ya Hamisa na Diamond lakini wawili hao walishabahatika kupata mtoto mmoja wa kiek ambae aliwafanya wawili hao ku-trend sana katika itandao ya kija ii kiais kwamba hakuna anaeweza kutumia mitandao ya kijamii bila kusikia habari zao.