Diamond Aungana na familia Yake kwa Mara ya Kwanza Tangu Alipogombana na Mama Watoto Wake.

Baaada ya tetesi nyingi kusamb bakwamba mwanamuziki Diamond Platinumz inawezekana amerudiana na mama mzazi wa watoto wake Zari the bossy ambae kwa sasa yuko Afrika ya Kusini, sasa imethibitika baada ya kusambaa kwa picha ikimuonyesha msanii huyo akiwa na watoto wake.

pamoja na kwamba mara ya kwanza alikuwa akisema amekuwa akienda kuwaona watoto wake afrika ya kusini lakini hakukuwahi kuwa na picha iliyowahi kuthibitisha  ilo mpaka jana walipotoa picha hiyo kwa mara ya kwanza kwa takribani miezi minne tangu walipokuwa wamegombana na

Picha hiyo inathibitisha kuwa kumbe wawili hao wameweka mambo yao sawa na kwa juhudi za Babu Tale kama alivyokuwa ameaidi basi yametimia.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.