Irene Apata Kigugumizi Baada ya Kusikia Zari Karudiana na Diamond.

Mwanadada irene ambae alijiatia umaarufu baada ya kupata skendo ya kutembea na msanii wa muziki Diamond Platinumz alipata kigugumizi kujibu kuhusu swali baada ya kusikia kuwa mwanaume huyo amemfuata mzazi mwenzie Afrika ya Kusini.

Irene ambae alikana kumjua Hamisa baada ya tetesi kusambaa sana katika mtandao ya kijamii kuwa wana uhusiano wa kimapenzi na kusema kuwa yeye aamini kama hamisa yuko katika mahusiano na Diamond Platinumz na hajui lolote kuhusu hilo huku tetesi zikidai kuwa hata yeye pia alinunuliwa nyumba na mwanaume huyo.

Kuhusu diamond kwenda afrika ya kusini kwa zari siwezi kuzungumzia swala hilo,nina sababu zangu naomba nibaki kimya tu.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.