Fahamu Wasanii Chipukizi Wanaokuja Vizuri Bongo Fleva.

Kila kukicha kumekuwa na wimbo la wasanii wapya wa muziki wa kizazi kipya mabo wanaibuka na kufanya vizuri katika muziki wa Tanzania.Wapo waliopo chini ya uongizo wao lakini wengi wanatoka katika jumba la sanaa na vipaji la THT.

Hata ukiangalia katika mitandao kwa sasa huweiz kukosa majina na nyimbo mpya kutoka kwao na upande mmoja au mwingine wamekuwa wakifanya vizuri na nyimbo zao zimekuwa zikipenda sana.hawa ni pamoja na ;-

anaitwa Ndelah na wimbo wake mpya unaitwa NIACHE.

Magic na wimbo wake mpya wa kichwa kinaroll

 

kareen kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa lawama.

anaitwa mario

Jolie , wimbo ulimtambulisha na kufanya vizuri ni ule wa bado mapema.

Anaitwa Melody na amekuwa akisfika pia kwa kuandika mashairi ya nyimbo za wasanii wengine, wimbo wake wa namwaga mboga aliomshirikisha Nandy ulifanya vizuri.

Anaitwa Benson na kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa hauzimi.

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.