Tunaweka Kazi Mbele Kwanza na wala Hatuingilii Team Zao:-Navy Kenzo

Wsanii ambao pia ni wapenzi wanaounda kundi la navy kenzo aika na nahrel wamefunguka na kusema kuwa kitu kikibwa mabacho muda wote kimekuwa kikiwasaidia hata kufanya kazi na wasanii tofauti tofauti ni kwa sababu hawaangalii mitandao inasema nini bali kazi kwanza.

Hata hivyo wasanii hao wanasema kuwa pamoja na kwamba Alikiba na Diamond ni mahasimu wakubwa lakini kilichowasaidia wao kufanya nao kazi na wasanii hao ni kwa sababu wamekuwa wakijali sana kufanya kazi zaidi kuliko kuangalia maneno ya mashabiki mitandaoni wanasema nini kuhusu wasanii hao.

kilichotusaidia sisi kufanya kazi pamoja na Diamond na Alikiba ni kuweka kazi mbele, wala sio kuingilia team zao.sisi tupo very positive  tunaangalia sana kazi na muziki kuliko maneno ya  watu.

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.