Pesa Yakwamisha Ndoto ya Gigy Kuwa kama Nick Minaj

Mwanadada Gigy Money ambe hivi karibuni kulienea kwa picha katika mtandao wa instagram akiwa na mwanaume mwingie na kusema mwanaume huyo kutoa Zanzibar ameamua kumchumbia na hivi karibuni wanategemea kufunga ndoa.

Hata hivyo katika interview zake , gigy moenya kama akwaida amekuwa mtu wa kuongea mambo mengi na mengi  yenye drama za hapa na pale kuhusu maisha yake na ya wasanii wengine kwa ujumla.

Gigy amezua tena balaa jingine na kuongelewa katika mitandao ya kijamii baada ya kusema kuwa amekuwa na ndoto ya kutengeneza maziwa yake ili yawe kama yale ya mwanadada kutoka nje Nick minaj lakini anakwama kufanya hivyo kutokana na kukosekana kwa pesa .

Gigy anasema kama angepata pesa bas angetengeneza maziwa yake kwa gahrama yoyote hile.

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.