Nandy ana Damu ya WCB :-Diamond Platinumz.

Baada ya kusambaa kwa video mwanadada Nandy akiwa na Diamond Platinumz video ambayo iliibua maswali mengi huku wakiuliza kama kweli ndio ameamua kujiweka hapo kwa sasa au la.

Akiongea na mwaandishi wa habari mtwara kwa kutaka kujibu tuhumza hizo, Diamond Platinumz anasema kuwa pamoja na yote lakini watu wanatakiwa kujua  kuwa Nandy ana damu ya wcb hivyo hata azunguke vipi damu yake iko huko.

Nandy hata azunguke wapi, lakini damu yake iko wcb tu, hata ukimkata utaona  tu damu yake unajua kuwa anaipenda sana WCB tusiishi kwa kubaguana kwa sababu sisi wot ni wasanii.

Msanii huyo anasema kuwa hata kama Nandy atoweza kusemhadharani lakini anaikubali sana WC , sasa swali la kujiuliza ni kuwa Je diamond atakuwa tayari kumsaini  Nandy katika Lebo hiyo kwa kuwa amegundua mapenzi ya mwanadada huyo kwa timu hiyo.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.