Wema Amkumbuka Idris

Mwanadada Wema Sepetu ameamua kuonyesha kuwa hakuna tofauti kati yake na mpenzi wake wa zamani Idris sultani na kuamua kumtakia kheri ya sikukuu yake ya kuzaliwa iliyokuwa imefanyika siku za hivi karbuni.

Wema anasema kuwa haweiz kuwa na chuki na mwanaume huyo kwa sababu alikuwa ni moja kati ya wanaume waliokuwa wanakaribia kwa kiasi kikubwa kutaka kubadilisha maisha yake kutokana na  ujauzito ambao alibeba lakini bahati mbaya ulikuja kutoka.

Wema  na Idris waliiingia katika mahusiano na kufanikiwa kupata mimba lakini kwa bahati mbaya mimba hiyo ilikuja kuharibika, hata hivyo wawili hao hawakuweza kudumisha penzI lao na penzi hilo lilivunjika.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.