Linah na Amini Waonekana Pamoja Ndani Ya Mahaba Mazito

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Linah Sanga na msanii mwenzake Amini wote waliokuwa chini ya THT wameibua Tetesi Za kurudiana Baada ya kuposti picha wakiwa pamoja.

Linah na Amini waliwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi miaka ya nyuma Lakini walikuja kuachana na Linah alikuwa na mwanaume mwingine ambaye amezaa naye Mtoto mmoja.

Wiki chache zilizopita Linah aliweka wazi kuwa yeye na baba Watoto Wake hawapo pamoja ingawa hakutaja sababu ya kuachana kwao na mara moja tetesi zilianza kusambaa kuwa Linah na Amini wamerudiana.

Tetesi hizo zimepamba moto siku ya jana (siku ya wapendanao) Baada ya kupostiana wakiwa wameshikana viuno na kukaa katika mkao wa kihasara.

Wawili hao walikuwa mkoa wa Iringa walipokuwa wanafanya shoo na kila mmoja aliposti licha ya mwenzake katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno haya:

The

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.