Alikiba afunguka baada ya kutajwa katika orodha ya vijana 100 wenye ushawishi Afrika

Diamond Platnumz, Alikiba, Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Millard Ayo, Jokate, Flaviana Matata na Nancy Sumari ndo mastaa kutoka Tanzania ambao wametajwa kwenye orodha ya vijana 100 waliochini ya miaka 40 wenye ushawishi zaidi barani Africa kwa mwaka 2017.

Akiongea na The Playlist ya Times FM, Alikiba alisema kuwa anajiskia vizuru kufuatia kutajwa kwake kwenye orodha hio kwani Afrika nzima imemtambua.

“Najisikia vizuri kwamba Africa nzima imenitambua, kuna watu ambao wanatamani kuwa kama Alikiba na vitu kama hivyo. Kwa hivyo nawahamasisha vijana wengine kufanya kazi nzuri kama mimi nivyofanya, nashukuru sana, najisikia vizuri,” alisema Alikiba.

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.