Aliyezaa na Casto Afunguka , Asema Casto ni Mchafu.

Huku akiwa bado ndo kwanza kidonda kibichi cha kufikwa na msiba wa mtoto wake  lakini kumekuwa na maneno mengi yamekuwa yakimuandama mtangazaji wa kipind cha siz kitaa kinachorishwa na Clouds tv  kutokana na mambo mengi anayoyafanya katika mitandao ya kijamii.

Moja ya wanawake aliwahi kuwa nao katika mahusiano na kubahatika kupata naeo mtoto Don Posh amefunguka na kusema kuwa casto hawezi kuwa na mahusiano na tunda bali wanakuwa  pamoja kwa ajili ya kutafuta kiki tu na wala sio vinginevyo.

Mwanadada huyo akiwa anaongea na waandishi wa habari anasema kuwa casto hawezi kupata mwanamke atakae mpenda kama alivyowahi kumpenda yeye na kwa sasa anahangaika tu wala hakuna cha maana anachopata katika mapenzi, na kusema kuwa yeye bado anampenda sana casto.

Hata hivyo Don Posh anasema pamoja na kwamba anampenda sna casto lakini hawezi kutembea nae tena kwa sababu casto amekuwa mchafu kutokana na picha na video zake vchafu anazoweka katika mitandao ya kijamii akiwa na huyo Tunda.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.