Aunty Amuweka wazi Role Model Wake

Mwanadada Aunty ezekile ameamua kuweka wazi hisia zake kwa msanii mkubwa wa nje ambae anamkubali nahata kufuata nyayo zake katika tasnia ya filamu anayofanya yeye kwa sasa.

katika ukurasa wake wa instagram Aunty Ezekiel aliweka picha ya mwanadada Kajol ambae aliwahi kuigiza katika  kuch kuch  huku mashabiki wake wakifurahia jambo hlo na kusema kuwa inawezekana kwa sasa msanii huyo ameamua kuwaweka wazi mashabiki zake.

Mwanadada Aunty amekuwa akifanya vizuri sana ktika tasnia ya bongo na ni moja ya wasanii wa kike ambao hawana skendo kama wasanii wengine  wa kike.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.