Aunty Ezekiel athibitisha kuwa single

Mwanadada Aunty Ezekiel amefunguka na kuonelea status yake ya mahusiano kwa sasa na kusema kuwa hakuna attitude anayoipenda na kuikubali kwa sasa kama kuwa single.

Aunty ezekiel  ambae hivi karibuni alikuwa akiulizwa kila siku kuhusu mahusiano yake na mzazi mwenzie mose iyobo  lakini alikuwa akikana kuwa hawajaachana na  hata moze mara nyingi alikuwa akikana na kujitahidi kuwaonyesha ulimwengu kuwa wako pamoja aliweka caption katika akaunt yake inayoonyesha kuwa yuko single.

katika ukurasa wake wa instagram aliandika ” someone  asked me what is ur attitude ..then i simply replied ….being single is my attitude… “

Wawili hao walisemekana kuachana kutokana na kushindwa kukaa pamoja kwa sababu ya kuwa na mchepuko ya pembeni.

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.