AY Aopoa Jiko la Kinyarwanda, Tazama picha Hapa

Mwanamuziki Mkongwe wa Bongo fleva, Ambwene Yesaya maarufu kama ‘AY’ ametawala vichwa vya habari mwishoni mwa wiki hii baada ya picha kusambaa mtandaoni zilizomuonyesha akiwa na mpenzi wake wa siku nyingi anayejulikana kama Reheme au Remmy huku habari zikidai wamefunga ndoa.

Remmy na AY wamekuwa wapenzi kwa kipindi kirefu na tofauti habari zinavyoendelea kudai kuwa wamefunga ndoa siku ya jana habari zaidi zimesema   Kilichofanyika jana ni shughuli ya utoaji wa mahali na sherehe ya uchumba.

Katika shughuli hiyo iliyofanyika nchini Rwanda katika hoteli ya Golden Tulip La Pallisse, ilihudhuriwa na marafiki na watu maarufu kama Msanii Mwana FA, Mtangazaji wa Clouds Fm B-dozen, na Meneja wa AY Sallam SK.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo:

 

 

 

 

 

 

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.