Baada ya Harmonize Kutoa List ya Wolper, Team Wolper yafukunyua list ya Sarah

Vita ya maneno bado inaendelea kati ya Jackiline Wolper na harmonize akiungana na mpenzi wake sarah baada ya Wolper kujibu vibaya baada ya kuulizwa kuhusu  tetesi za Sarah  kutembea na mlinzi wake, hata hivyo jacky alisema kuwa kwake hakuona kama vibaya kwa sababu Sarah amejitolea kuwalea wasanii wa WCB.

Baada ya majibu ya wolper, harmonize alipanic na kutoa lit ya wanaume aliotembea nao wolper huku sarah akijinadi na kusema kuwa list hiyo haitakaa kufananishwa na tabia yake kwa sababu yeye hana tabia hiyo.katika katika ukurasa wa instagram ya harmonize sarah aliandika “i dont have that habit  only you have it …i left it for you ..see your list  and please go to the dentist  to put you teeth good.,,,live your life bit***

Kama ilivyokawaida katika mtandao wa instagram  kurasa za udaku na watu wa Team Wolper waliumia na swala hilo hivyo waliamua kufukunyua umbea wote wa mahusiano ya nyuma ya mwanadada sarah na wakaja hii na list hii.

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.