Baada ya kiba kuoa,Mbasha Ampa Moyo Jokate, Amwambia Mungu Hajamuacha

mwimbaji wa nyimbo za injili nchini emmanuel mabsah amefunguka katika ukurasa wake wa instagram na kumpa joj=kate maneno ya kumtia moyo kuhsu yale maneno aliyokuwa akisemwa katika mitandao baada ya msanii alikiba ambae alikuwa mpezni wake kufunga ndao na mwanamke mwingine kutoka mombasa kenya.

emmanuel mbasha ambae aliweka picha aliowahi kupiga akiwa na jokate na kuandika”usiofu Mungu hajakuacha @jokatemwegelo ya kwetu inakuja na itakuwa live tv zote mpaka wasafi tv”

Jana wakati ali kiba akifunga ndoa huko Mombasa moja ya wanaharakati mashuhuli katika mtandao wa instagram, Mange Kimambi aliandika maneno mazito kwa jokate na kumwambia kuwa amepata laana  na kuachwa Alikiba

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.