Babalevo Kizimbani kwa Kumpiga Muuguzi wa Hospitali

Msanii wa muziki wa bongo fleva ambe pia ni diwani wa kata ya  Mwanaga  Kaskazini  katika manispaa ya Kigoma  Ujiji , ambae pia amekuwa akiunda kundi la Kigoma all stars,amepandishwa kizimbani leo katika manispaa hiyo kwa kosa la kumpiga muuguzi wa zanahati ya Msufini  mkoani humo.

baba levo ambae ukaachama na usanii pia aliamua kujiingiza katika siasa na kugombea udiwani ambapo aliweza kupata cheo hicho , haijafahamika bado ni kitu gani kilichosababisha marumbano kati yake na muuguzi huyo mpaka kufikia hatua ya kumpiga .

Baadhi ya nyimbo alizowahi kuimba msanii huyo ni pamoja na  yalayala, mara paap aliomshirikisha Milaard  ayo, sherehe aliomshirikisha Queen Darleen n baadhi ya nyingine za kigoma all star.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.