Beka Flavour Amuonya Aslay .

Msanii Beka flavour amefunguka na kumtaka aliywahi kuwa msanii mwenzie kwenye kundi moja la ya moto band kuwa aache kulewa sifa na kutafuta kiki bali ajikite kuangalia jinsi gani anaweza kufanya ubunifu mpya ili kukuza na kuendeleza muziki wake.

Beka ameongea hayo alipokiuwa akihojiwa na EATV siku chache tangu Aslay kuachana na Tessy chocolate ambae ni mama wa mtoto wake na kuanza mapenzi mapya na mwanamke mwingine huku akiachia penzi hilo na picha za ajabu katika mitandao ya kijamii na kumwambai kuwa huko ni kutafuta kiki.

kuna watu wakifanya kiki inawasaidia na kuwakuza kimuziki na inawezekana aslya ni mmoja wapo,ila mimi sijui , najua aslay ni mwanamuziki mkubwa na ila namshauri ajitahidi kufanya kazi.siwezi kumwambia aache kiki au kumpost mpenzi wake huyo mpya  kwa sababu mimi sio mzazi wake.

Beka flavour pia ansema kuwa watanzania wengi wamekariri kuwa ili msanii afanye muziki mzuri ni lazima afanye kitu cha kumpa kiki ili kuweza kusambaza vizurimziki wake kitu ambacho siocha kweli.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.