Bila clouds Hakuna Star Angetoka ;-Kusaga

Mkurugenzi na biso mwenzie wa Clouds media amefunguka na kusema kuwa pamoja na yote yanayoendelea katika mitandao ya kijamii kuhusu wasanii kujitapa kuhusu mafanikio yao lakini mwisho wa siku wanatakiwa kujua kuwa hakuna haa msanii mmoja ambae anaweza kusema kuwa ametoka bila jitihada za clouds medai.

Akiongea katika kipindi cha leo tena bosi wa Clouds media, akijibu maswala mbalimbali wakiwa wanasherekea miaka 19 ya clouds media, Joseph Kusaga anasema ‘ utake usitake, hakuna staa yeyote hata watukane , waseme nini  ila bila clouds wasingekuwa walipokuwa sasa ‘

Hii inatoka ana kusema kuwa wasanii wengi hapo nyua wamekuwa na kama tabia ya kujisisfu kwa mafanikio yao bila kuwa wazi ya kile walichwahi kusaidiwa na watu mbalimbali mpaka kufika walipofika.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.