Daimond ni Nembo ya Taifa:-Mh Ngeleja

Mbunge wa  Sengerema William Ngeleja ameishauri serikali kuwatumia wasanii wakubwa wanaopata fursa za kufanya kazi za sanaa kimataifa kuitangaza Tanzania katika nyanja mbalimbali.Ngeleja amesema kuwa msanii kama Diamond anapaswa kutumiwa vizuri na nchi kutokana na kazi zake anazoendelea kufanya za kimataifa kama hii aliyoipata sasa ya kuimba katika kombe la Dunia.

bongo fleva ametutoa, tunamzungumzia msanii kama diamond platinumz ambae amechaguliwa kuliwakilisha taifa kwenye wimbo wa kombe la dunia mwaka huu.Ninaamini kuwa huko anakoenda  anaenda kutuwakilisha.Naamini wizara ya maliasili inam-package  kwenda kuitangaza nchi yetu , diamond kwa sasa ni  nembo ya Taifa .kwaio ni muhimu kuwa na watu kama hawa katika nchi yetu.

Diamond na msanii kutoka Marekani Jason Derulo wataiba wimbo unaitwa Colours ukiwa unaalengo la kuburudisha na maaarumu kwa ajli ya kombe la Dunia mwaka huuu litakalo fanyika nchini Urusi.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.