Diamond Adaiwa Kutelekeza Watoto

Msanii Diamond Platinumz anadaiwa kutelekeza watoto wake wawili aliozaa na mwanamama Zari the bossy kutoka Uganda kama ilivyokuwa ikiripotiwa na mwanamama huyo Katika mitandao ya kijamii katika kurasa zake akijibu watu katika upande wa maoni.

Mwanamama huyo ambae amekuwa akiwajibu watu kuwa kwa sasa amekuwa akilea watoto yeye mwenyewe imetasfiri na watu kuwa inawezekana mwanamama huyo ni kweli ameamua kutoa siri hiyo kwa watu kuhusu malezi ya watoto hao.

Hata hivyo maoni ya mwanamama huyo yanazidi kuibua hisia kali kwa mashabiki kuhusu diamond kubagua baadhi ya watu wake wa karibu kwa kuwahudumia ukizingatia kuwa hivi karibuni amekuwa na na  tuhuma za kukataa kumuhudumia baba yake mzazi ambae amekuwa mgonjwa kitandani pamoja na kwamba amekuwa akiomba msaada kupitia mitandao.

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.