Diamond Atangaza Tarehe ya Ndoa

Msanii Diamond Platinumz ambae mara zote amekuwa akisema kuwa katika mahusiano yake haya ndio mahusiano yake ya mwisho mpaka ndoa , amefunguka na kusema kuwa anatarajia kufunga ndoa tarehe 14/2/2019 kwa sababu ndio siku anayotaka kufunga ndoa.

tangu hapo awali, mwanamuziki huyo alisema kuwa  atafunga ndoa mwakani na mwanamke aliyenae sasa hivi kutoka kenya anaejulikana kwa jina la tanasha.

katika moja ya maoni aliyokuwa akimjibu mashabiki wake, “unajua ni kiasi gani ninaisubiri hiyo siku , (14/2/20180 siku ya harusi ya simba”

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.