Diamond na Rayvanny Wafunga Mitaa Jijini.

Wasanii kutoa kundi la wcb, Diamond pamoja na Rayvanny walionekna kufunga mitaa ya posta jijini siku ya jumapili baada ya wasanii hao kutokea maeneo hayo akiwa na crew yake kwa ajii ya kufanya video mpya inayotarajiwa kuitoa hivi karibuni.

Watu hao walijaa maeneo hayo kwa ajili ya kuwashangaa wasanii hao pamoja na kwamba siku ya jana ilikuwa ni siku ya mapumziko hiyo hawakutegemea kuona watu wengi kiasi hicho.

Ray vanny na Diamond wamekuwa moja ya watu wanaofanya vizuri sana kila mara wanapotoa wimbo mpya na huu pia unatarajiwa kuwa moja ya nyimbo zitakazoleta shida.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.