Diva Yuko Tayari Kuolewa na Dangote.

Mwanadada mtangazaji maaarufu nchini, Diva loveness love ameyamngaza kuwa yuko tayari kuolewa na kuishi na tairi maarufu na mkubwa duniani aliko dangota kama atamsikiliza maombi yake.

Tangazo la Diva limekuja katika ukurasa wake wa instagram huku akimtag tajiri huyo na kumwambia kuwa hata yeye yuko tayari kati ya wanawake wengi walituma maombi ya kuolewa na tairi huyo.

Maombi ya Diva na wanawake wengine katika mitandao ya kijamii kwenda kwa Dangote ilianza kusambaa kama drama katika mitandao ya kijamii baada ya gazeti moja nchini Marekani kutangaza kuwa tairi huyo alipokuwa akifanya mahojiano nao alisema kuwa amekuwa busy kiasi cha kushindwa kutafuta mtu wa kuwa nae katika mahusiano.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.