Dj Fetty Kurudi Radioni

Aliyewahi kuwa mtangazaji maaarufu wa Radio Clouds Dj Fetty inawezekana akarudi tena radioni na kuanza kufanya kazi katika radio moja wapo nchini baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu huku akitangaza kuwa alikuwa amestaafu kazi hiyo na kuamua kujikita katika biashara zake binafsi,

Dj Fetty amethibisha hayo katika ukurasa wae wa instagram akiwa kama anawadokeza kitu mashabiki wake kwa kuwaambia kuwa” Tizi imeanza , u want me back? weka comment yako zikifika 1000 mama la mama hewani”

Ingawa bado haijafahamika kama mwanadada huyo atarudi tena Clouds Fm au kuna sehemu nyingine anatarajia kufanya kazi lakini tetesi za chini ya kapeti ambazo hazijathibitishwa ni kwamba mwanadada huyo amajiriwa katika radio mpya ya  Wasafi media.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.