Hakuna Msanii Anaenipa Changamoto-Thea
mwanadada mkongwe kutoka bongo movies amefunguka na kusema kuwa amekuwa katika tasnia ya filamu kwa zaidi ya miaka 20 kwaio hakuna msanii anaempa changamoto katika kazi za sanaa kwa sasa kwa sababu anajiamini na kazi zake.
Thea anasema kuwa amekuwa ni msanii anaejitahidi sana ku-maintain sanaa yake kwa kutengeneza filamu zenye ubira ili kuendlea kuwaweka mashabiki wake wasiondoke wala kumchoka na kazi zake.
Nina miaka 20 katika game na sina changamoto yoyote inayonisumbua kwa mastaa wa sasa lakini kitu ninachowaambia tu ni kwamba wajitahidi na kukaza buti kwa sababu game ni gumu kwa miaka hii ukiwa unafanya kazi na bado zikawa zinakulipa ni ngumu sana.
Thea anasema kuwa katikakazi zake alizofanya ambazo ziko zaidi ya 50 amekuwa akiipendelea sana filamu yake yan ya sengito.
Hata hivo thea ansea kuwa mara nyingi hutumia muda wake kuhakiksha kuwa kazi zak za sanaa zinakuwa sawa uhuki akitolea mfano na kusema kuwa kama hana kazi za filamu hulala saa sita lakini kama anakuwa na kazi huweza kulala hata saa9.