Hamisa ni Mwizi wa Mabwana za Watu :-Juma

Moja wa watu wanaokaa katika mitandao kwa muda mrefu na wamekuwa wakiwakosoa sana wasanii na watu wanaoenda kinyume, lakini pia amekuwa na page ya udaku kwa ajili ya mastaa mbalimbali Juma lokole amefunguka na kuongea kile anachokiona na jinsi watu wanavyokuwa wakimtuhumu hamisa mobeto juu ya mahusiano na wanaume tofauti.

Juma Lokole anasema kuwa hamisa ni kweli muwizi wa wanaume za watu wa sababu watu wamekuwa wakimtuhumu kila mara kuhusu swala hilo kuwa ni tabia yake.

Maneno ya juma yanakuja  baada ya mwanadada huyo kutuhumiwa hivi karibuni   kuwa aliiba bwana wa  Tahiya ambae baada ya kumuuliza alikataa lakini cha ajabu mwanadada huyo alimuweka wazi mwanaume huyo na kuonekana kuwa ni mwanaume wake.

Hata hivyo hii itakuwa mara ya kwanza kwa sababu hamisa aliwahi kutoka kimapenzi na Diamond na hata kupata nae mtoto kipindi ambacho Diamond alikuwa kwenye mahusiano na Zari the bossy.

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.