Harmonize Aeleza Alipokutana na Diamond Kwa Mara ya Kwanza.

Msanii wa muziki kutoka katika kundi la WCB, Harmonize ambae amekuwa akifanya vizuri sana katika kundi hilo ameelezea kwa undani juu ya mahusiano yake na bosi wake Diamond Platnumz ambae amekuwa akiimba nae nyimbo nyingi na kuweza kutoboza kwa mashabiki .

Harmonize anasema kuwa mara ya kwanza kukutana na Diamond ilikuwa ni Dar live ambapo Diamond alikuwa akifanya show baada ya kushinda tuzo ya channel o.

mara ya kwanza nakutana na diamond ilikuwa pale dar lve alikuwa anafanya show alipo shinda tuzo ya channel o,na aliniombea pale kabla hajaperfom yeye mimi nianze , hapo ndipo nilipokutana nae.

Hata hivyo, harmonize na diamond platinumz wanasemekana kuwa ndiowasanii waliopo karibu sana na kuwa marafiki sana kuliko wasanii wenguen ndani ya WCB.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.