Harmonize Ampamba Rich Mavoko kwa Show Zake Kali.
Mwanamuziki Harmonize amefunguka na kusema kuwa moja ya wasanii wanaomkosha sana kwa show kali bongo ni Rich mavoko ambae show zake huwa hazichoshi na anajua jinsi ya kulitawala jukwaa.
kwa wasanii wa kizazi cha sasa,msanii amabe nikiangalia show yake huwa nafurahi siku zote huwa ni rich mavoko.anajua sana kumiliki jukwaa.
Harmonize alimpamba sana msanii mwenzake huyo mabae yuko nae katika lebel ya WCB wote waiwa chini ya bosi wao Diamond.