Harmonize Amshukuru Diamond Ku-boost Wimbo wa Kwangaru
Msanii wa bongo fleva Harmonize amefunguka na kusema kuwa amemshukuru sana Diamond ambae ni boss wake kuifanya nyimbo yake ya kwangaru kufikia hatua kubwa ya mafanikio iliyopo sasa.
Maneno hayo ya manii harmonize yanakuja baada ya kutimiza views milioni 10 katika mtandao wa you tube huku akiwa ndio msanii wa kwanza kwa mwezi huu na kuongozwa nyimbo zote zilizoingia you tube akiwa ni namba moja.
pia ninaamini kabisa kuwa uwepo wa diamond katika muziki wangu umefanukisha hilo kwa sababu ninajua muziki wangu kuna sehemu haujafikia lakini kupitia yeye nmeweza kufika hapo.kwaio nina mshukuru sana ukiachana naverses ambazo amefanya lakini images zake katika muziki huo pia zimenisaidia.
Ikiwa huu ni wimbo wa pili kwa Diamond kutoa na Harmonize na zote zimekuwa zikifanya vizuri, harmonize aachi kusema kuwa mafanikio hayo ni kutokana na juhudi kubwa za bosiwao huyo anazoziweka katka kazi bila kujali ukubwa alionao.