Harusi ya AY na Remmy Ilikuwa Balaa (picha)

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva Ambwene Yeseya ‘AY’ ameuaga ukapera mwishoni mwa wiki hii na kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Rehema Suddy Suleiman ‘Remmy’.

Ndoa hiyo ilifungwa siku ya jumamosi katika hoteli kifahari ya Golden Tulip Masaki baada ya zoezi la kutoa mahari lililofanyika Februari 10 nchini Rwanda.

Harusi hiyo ilihudhuriwa na wadau wa muziki na wasanii mbali mbali kama wasanii wenzake na AY kutoka kwenye kundi la East Coast kama MwanaFA aliyekuwa Bestman Crazy GK na wasanii wengine kama Lady JD, Professor Jay na wengineo.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio la harusi ya Ay na Remmy:

 

 

 

 

 

 

 

 

.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.