Kisa Simba na Yanga, Masanja na Joti Wajibizana Mtandaoni.

wasanii wa maigizo ya vichekesho joti na masanja wamejikuta wakiingia katiia majibizano  baada ya yanga kufungwa  magoli 4-o na  nchini algeria  katika mchezo wao  wa kwanza katika michezo ya shirikisho la afrika.Masanja na joti ambao pia ni mashabiki wa timu mbili  tofauti ambazo ni maadui wakubwa simba na yanga walijikita wakianza kujibizana baaada ya yanga kufungwa.

Joti aliweka picha ya kijana aliyebaba mzigo na kuandika “kitu kimengangania,3samahanilakini #samahanisana

 

 

Baada ya kuandika hivyo, Masanja nae alimjibu ‘una umama sana sometimes”

Alichojibu Masanja baada ya joti kutoa bango kuhusu kufungwa kwa Yanga.

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.