Mange Amshauri Hamisa Kuachana na Diamond
Mwanadda mwanaharakati maarufu nchini, Mange Kimambi amefunguka na kumwandika barua ya wazi Hamisa Mobeto kuwa mambo anayoyapitia kutoka kwa familia ya Diamond yanatosha kabisa kumfanya aachane na diamond lakini kwa nini anangangania na kuteseka.
mange ana mwamba hamisa kuwa hata kama Diamond amemuaidi kuwa na reality show katika kituo chake cha televisheni lakini bado hawezi kufanya hivyo kwa kuteseka kwa sababu ya kitu kama icho ni bora nae aamua kufanua kama alivyofanya Zari.
Hamisa mabe hivi karibuni amekuwa akipatwa na misukosuko ya kupokea chuki kutoka kwa familia ya hamisa mobeto na adharaulike sana katika mitandao ya kijamii , amekuwa akijibizana na ndugu hao kila kukicha na kuonekana kama analazimisha mapenzi kwa ndugu zake.hata hivyo sio mara moja mama na dada wa diamond wamekuwa wakisema kuwa wanamiss sana uwepo wa zari hivyo hii ni kumaanisha kabisa kuwa hawamtaki hamisa mobeto.
Mange amemwambia hamisa kuwa nikweli kabisa kuwa Diamond anampenda sana yeye lakini hakumbuke kuwa Diamond hawezi kuishi bila kuwa na kiki ya biashara na kiki yake iko kwa Zari , kwaio haiwezekana kabisa Babu Tale kwenda afrika ya kusini bila kutumwa na Diamond mwenyewe.Na kwa kumalizai kabisa Mange amemuahikishai hamisa kuwa Diamond anasafari ya wenda Afrika ya Kusini wiki hii.