Mange Kimambi Atamani Kuwa Kama Mama Mobeto

mwanadada mange kimambi amefunguka na kusema kuwa anatamani sana  kuwa na busara kama za mama amobeto kwa sababu amekuwa mama anaejua kutumia mitandao vizuri hata katika umri wake na kwamba amekuwa mama bora kwa mtoto wake wa pekee hamisa mabae mara nyingi alikuwa akisemwa na kusimangwa lakini kama mama hakuwahi kuakata tamaa .

Mange Kimambi amesema maneno hayo alipokuwa akimtakia mama huyo kheri ya siku yake ya kuzaliwa siku ya December 12 katika ukurasa wake wa instagram ambapo alimpongeza sana mama huyo kwa sababu mara zote hata wanapokuwa wakivamiwa kwa maneno amekuwa mtu wa kukaa kimya na kumpa moyo mtoto wake na kuwalea vizuri wajukuu zake.

 

 

 

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.