Mbwana Samatha Atua Mecca

Mchezaji wa mpira kutoka Tanzania Mbwana Samatha amabe aliitoa Tanzania kimasomaso baada ya kenda kucheza soka ya kulipwa nje ya nchi ameonekana akiwa mecca kutimiza moja ya sala kubwa duniani ya kwenda kuhiji.

Mchezaji mpira huyo ambae amekuwa maarufu kutokana na mambo mengi ikiwemo kipaji chake , richa ya kuwa tu mchezaji mpir amzuri lakini pia ameonekana kuwa ni moja ya washika dini .

Mbwana Samatha  anategemewa kutua Tanzania kwa ajili ya mchuanoi mkubwa kati take na msanii Alikiba pale uwanja wa taoifa ikiwa kama moja ya njia ya kuhamasisha mashabiki wao kuchangia pesa kwa ajili ya kutatua changamoto ya elimu mashuleni.

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.