Mkubwa fela Azungumzia Tuhuma za Kunyonya Wasanii.

Meneja wa wasanii  Mkubwa Fella amesema mara nyingi anapobua vipaji na kuwa vigumu ndipo zinaaza tuhuma kuwa anawaibia wasanii lakini wakati anaaza mwanzo hakuna anayekuwa naye.

Utakumbuka kuwa mubwa fella amekuwa akibua vipaji kupitia kituo chake cha mkubwa na wanawe ambapo wasanii wakubwa kama Aslay na Mbosso walianzia hapo.

“Fela ni mwizi lakini kuanzia utotoni huko hawaoni, wakishakuwa wakubwa wazuri, wanapendeza ndio inakuwa hivyo,” amesema Fella.

Pia Fella amefunguka kuhamisha kituo cha hicho  ambapo kuanzia mwezi wa sita kitakua kwenye kata yake ya Kilungule ambayo yeye ni diwani

About this writer:


Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.